Selected
                        Original Text
                        
                    
                
                    
                        Ali Muhsin Al-Barwani
                        
                        
                        
                    
                
                Abdullah Yusuf Ali
Abdul Majid Daryabadi
Abul Ala Maududi
Ahmed Ali
Ahmed Raza Khan
A. J. Arberry
Ali Quli Qarai
Hasan al-Fatih Qaribullah and Ahmad Darwish
Mohammad Habib Shakir
Mohammed Marmaduke William Pickthall
Muhammad Sarwar
Muhammad Taqi-ud-Din al-Hilali and Muhammad Muhsin Khan
Safi-ur-Rahman al-Mubarakpuri
Saheeh International
Talal Itani
Transliteration
Wahiduddin Khan
                    بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
                
                
                    In the name of Allah, Most Gracious, Most Merciful.
                
            
                    100:1
                    وَٱلْعَـٰدِيَـٰتِ ضَبْحًا
                
                
                
                
                
                    100:1
                    Naapa kwa farasi wendao mbio wakipumua,  - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)
                
                
                
                
                
                    100:2
                    فَٱلْمُورِيَـٰتِ قَدْحًا
                
                
                
                
                
                    100:2
                    Na wakitoa moto kwa kupiga kwato zao chini,  - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)
                
                
                
                
                
                    100:3
                    فَٱلْمُغِيرَٰتِ صُبْحًا
                
                
                
                
                
                    100:3
                    Wakishambulia wakati wa asubuhi,  - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)
                
                
                
                
                
                    100:4
                    فَأَثَرْنَ بِهِۦ نَقْعًا
                
                
                
                
                
                    100:4
                    Huku wakitimua vumbi,  - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)
                
                
                
                
                
                    100:5
                    فَوَسَطْنَ بِهِۦ جَمْعًا
                
                
                
                
                
                    100:5
                    Na wakijitoma kati ya kundi,  - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)
                
                
                
                
                
                    100:6
                    إِنَّ ٱلْإِنسَـٰنَ لِرَبِّهِۦ لَكَنُودٌ
                
                
                
                
                
                    100:6
                    Hakika mwanaadamu ni mtovu wa fadhila kwa Mola wake Mlezi!  - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)
                
                
                
                
                
                    100:7
                    وَإِنَّهُۥ عَلَىٰ ذَٰلِكَ لَشَهِيدٌ
                
                
                
                
                
                    100:7
                    Na hakika yeye mwenyewe bila ya shaka ni shahidi wa hayo!  - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)
                
                
                
                
                
                    100:8
                    وَإِنَّهُۥ لِحُبِّ ٱلْخَيْرِ لَشَدِيدٌ
                
                
                
                
                
                    100:8
                    Naye hakika bila ya shaka ana nguvu za kupenda mali!  - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)
                
                
                
                
                
                    100:9
                    ۞ أَفَلَا يَعْلَمُ إِذَا بُعْثِرَ مَا فِى ٱلْقُبُورِ
                
                
                
                
                
                    100:9
                    Kwani hajui watakapo fufuliwa waliomo makaburini?  - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)
                
                
                
                
                
                    100:10
                    وَحُصِّلَ مَا فِى ٱلصُّدُورِ
                
                
                
                
                
                    100:10
                    Na yakakusanywa yaliomo vifuani?  - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)
                
                
                
                
                
                    100:11
                    إِنَّ رَبَّهُم بِهِمْ يَوْمَئِذٍ لَّخَبِيرٌۢ
                
                
                
                
                
                    100:11
                    Kuwa hakika Mola wao Mlezi siku hiyo bila ya shaka atakuwa na khabari zao wote!  - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)