Selected

Original Text
Ali Muhsin Al-Barwani

Available Translations

105 Al-Fīl ٱلْفِيل

< Previous   5 Āyah   The Elephant      Next >  

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
In the name of Allah, Most Gracious, Most Merciful.

105:1 أَلَمْ تَرَ كَيْفَ فَعَلَ رَبُّكَ بِأَصْحَـٰبِ ٱلْفِيلِ
105:1 Kwani hukuona jinsi Mola wako Mlezi alivyo watenda wale wenye tembo? - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

105:2 أَلَمْ يَجْعَلْ كَيْدَهُمْ فِى تَضْلِيلٍ
105:2 Kwani hakujaalia vitimbi vyao kuharibika? - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

105:3 وَأَرْسَلَ عَلَيْهِمْ طَيْرًا أَبَابِيلَ
105:3 Na akawapelekea ndege makundi kwa makundi, - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

105:4 تَرْمِيهِم بِحِجَارَةٍ مِّن سِجِّيلٍ
105:4 Wakiwatupia mawe ya udongo wa Motoni, - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

105:5 فَجَعَلَهُمْ كَعَصْفٍ مَّأْكُولٍۭ
105:5 Akawafanya kama majani yaliyo liwa! - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)