Selected

Original Text
Ali Muhsin Al-Barwani

Available Translations

97 Al-Qadr ٱلْقَدْر

< Previous   5 Āyah   The Power      Next >  

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
In the name of Allah, Most Gracious, Most Merciful.

97:1 إِنَّآ أَنزَلْنَـٰهُ فِى لَيْلَةِ ٱلْقَدْرِ
97:1 Hakika Sisi tumeiteremsha Qur'ani katika Laylatul Qadri, Usiku wa Cheo Kitukufu. - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

97:2 وَمَآ أَدْرَىٰكَ مَا لَيْلَةُ ٱلْقَدْرِ
97:2 Na nini kitacho kujuulisha nini Laylatul Qadri? - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

97:3 لَيْلَةُ ٱلْقَدْرِ خَيْرٌ مِّنْ أَلْفِ شَهْرٍ
97:3 Laylatul Qadri ni bora kuliko miezi elfu. - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

97:4 تَنَزَّلُ ٱلْمَلَـٰٓئِكَةُ وَٱلرُّوحُ فِيهَا بِإِذْنِ رَبِّهِم مِّن كُلِّ أَمْرٍ
97:4 Huteremka Malaika na Roho katika usiku huo kwa idhini ya Mola wao Mlezi kwa kila jambo. - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

97:5 سَلَـٰمٌ هِىَ حَتَّىٰ مَطْلَعِ ٱلْفَجْرِ
97:5 Amani usiku huo mpaka mapambazuko ya alfajiri. - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)